What to expect:
Title: Grade 10 Fasihi Simulizi Notes Complete for Term 1, 2, and 3
- Class:Grade 10
- Level:Senior Secondary
- Document Type:PDF
- Number of Pages: 31
Summary
PDF hii ni mwongozo kamili wa Fasihi Simulizi ya Kiswahili kwa Gredi ya 10. Imeandaliwa kwa kuzingatia Mtaala wa Elimu unaozingatia Umahiri (CBE) na inachambua kwa kina na kwa mpangilio vipera mbalimbali vya Fasihi Simulizi.
Nyaraka hii inalenga kuwasaidia walimu, wanafunzi na wadau wa elimu kuelewa dhana, sifa, na dhima za Fasihi Simulizi katika jamii, kwa kuzingatia muktadha wa kielimu na kijamii.
Yaliyomo ya PDF
1. Utangulizi wa Fasihi Simulizi
Maana na Ufafanuzi
Sifa za Fasihi Simulizi
Umuhimu wa Fasihi Simulizi katika Jamii
2. Hadithi: Hekaya na Hurafa
Maana na Ufafanuzi
Sifa za Hekaya na Hurafa
Umuhimu wa Hekaya na Hurafa katika Jamii
Vipengele vya Uwasilishaji
3. Semi
Maana ya Semi
Sifa za Semi
Umuhimu wa Semi katika Jamii
Aina za Semi (Vipera)
4. Ushairi wa Simulizi
Maana ya Ushairi wa Simulizi
Sifa za Ushairi wa Simulizi
Aina/Vipera vya Ushairi wa Simulizi
Dhima za Ushairi wa Simulizi katika Jamii
5. Mazungumzo katika Fasihi Simulizi
Maana ya Mazungumzo
Sifa za Mazungumzo
Dhima ya Mazungumzo katika Fasihi Simulizi
Miktadha ya Mazungumzo
6. Maigizo katika Fasihi Simulizi
Maana ya Maigizo
Sifa za Maigizo
Dhima ya Maigizo katika Jamii
7. Hadithi: Ngano za Mazimwi na Mighani
Maana ya Ngano za Mazimwi na Mighani
Sifa za Ngano za Mazimwi na Mighani
Vipengele vya Ngano za Mazimwi na Mighani
Umuhimu wa Ngano za Mazimwi na Mighani katika Jamii
8. Semi: Misemo na Nahau
Maana ya Misemo na Nahau
Utambuzi wa Misemo na Nahau
Vipengele vya Misemo na Nahau
Nafasi ya Misemo na Nahau katika Jamii
9. Ushairi Simulizi: Nyimbo
Maana ya Nyimbo
Aina za Nyimbo katika Fasihi Simulizi
Sifa za Nyimbo
Dhima ya Nyimbo katika Jamii
10. Ushairi Simulizi: Maghani ya Kawaida
Maana ya Maghani ya Kawaida
Aina za Maghani ya Kawaida
Sifa za Majigambo, Pembezi na Tondozi
Dhima ya Maghani ya Kawaida katika Jamii
Vipengele vya Ziada katika Kila Mada
Kila mada imekamilishwa kwa:
Shughuli za Ujifunzaji
Umilisi na Maadili yanayopaswa kukuzwa
Maswali ya Kuditilia Mawazo au Kujitathmini kwa ajili ya Tathmini
Hitimisho
Nyaraka hii imepangiliwa kwa umakini na lugha rahisi kueleweka, hivyo inafaa kutumika kama nyenzo ya kufundishia, kujifunzia, kufanya marudio, na maandalizi ya tathmini kwa wanafunzi wa Gredi ya 10 chini ya mfumo wa CBE.
Preview first pages below for more details
