What to expect:
Title: Grade 10 Fasihi ya Kiswahili Schemes of Work for Term 1
- Class:Grade 10
- Level:Senior Secondary
- Document Type:Ms Word Doc (Editable)
- Number of Pages: 9
Summary
This MS Word document comprises Grade 10 Fasihi ya Kiswahili Schemes of Work for Term 1, 2026.
A PDF version is also available upon request.
The schemes of work cover 4 lessons per week and include the following Strands, Sub-strands, and Key Topics based on the KICD Curriculum Design:
1.0 Fasihi Simulizi
1.1 Utangulizi wa Fasihi Simulizi
Maana ya fasihi na fasihi simulizi
Sifa za fasihi simulizi
Umuhimu wa fasihi simulizi katika jamii
2.1 Hadithi (Hekaya na Hurafa)
Maana ya hadithi, hekaya, na hurafa
Sifa za hekaya na hurafa
Umuhimu wa hekaya na hurafa katika jamii
Uwasilishaji wa hekaya na hurafa (uigizaji)
3.1 Semi
Maana ya semi katika fasihi simulizi
Sifa na aina za semi
Kuainisha vipera vya semi
Umuhimu wa semi katika jamii
4.1 Ushairi Simulizi
Maana na sifa za ushairi simulizi
Kuchambua sifa za ushairi simulizi katika simulizi
Dhima za ushairi simulizi katika jamii
1.2 Ushairi
1.2.1 Uainishaji wa Mashairi
Maana ya ushairi
Sifa za ushairi kama utanzu wa fasihi
Kuchambua sifa za ushairi katika mashairi mbalimbali
2.2.1 Uchambuzi wa Mashairi (Makundi)
Maana ya ushairi arudhi na ushairi huru
Sifa za mashairi arudhi na mashairi huru
Kutambua na kuainisha mashairi ya aina zote mbili
3.2 Uchambuzi wa Maudhui na Dhamira
Maana ya maudhui na dhamira katika ushairi
Uchunguzi wa dhamira na maudhui katika mashairi teule
4.2 Uchambuzi wa Maudhui na Dhamira
Kulinganisha na kulinganua maudhui na dhamira katika mashairi mbalimbali
1.3 Bunilizi
1.3.1 Utangulizi wa Bunilizi
Maana ya bunilizi
Aina za bunilizi na vipengele vyake
Kusoma bunilizi kwa burudani
2.3.1 Tamthilia (Maudhui na Dhamira)
Maana ya maudhui na dhamira katika fasihi
Kuchambua maudhui na dhamira katika tamthilia teule
3.3.1 Tamthilia (Wahusika na Mandhari)
Maana ya wahusika na utambuzi wao
Sifa za wahusika mbalimbali
Maana ya mandhari na umuhimu wake
4.3.1 Tamthilia (Muundo na Mtindo)
Maana ya muundo na mtindo
Kutambua vipengele vya muundo na mtindo katika tamthilia
Main Reference:
Kenya Institute of Curriculum Development (KICD) – Curriculum Design for Fasihi ya Kiswahili.
Preview first pages below for more details
